Msaada simu yangu inasoma laini ya airtel

Msaada simu yangu inasoma laini ya airtel

timothy harun

New Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
3
Reaction score
0
Nimekua nikihangaika sana wakati ninapotaka kubadilisha laini za mitandao mingine kwenye simu yangu upande wa sim1, kila nikiweka huwa kuna maneno yanayojitokeza kama hivi " SIM1:unlock network PIN" ila kwa sim2 hakuna tatizo huwa naweka laini yeyote tu!

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Sijui PIN ake mkuu!

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom