Msaada: Simu yangu inanisumbua kwenye storage

Msaada: Simu yangu inanisumbua kwenye storage

Ubavu

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2012
Posts
2,790
Reaction score
3,272
Ninatumia simu aina ya huawei G630 ni mpya kabisa. Ina internal memory ya 4GB .Nimeamua kuiongezea na memory card ya 16GB.
Tatizo ililonalo ni kuwa ninapotaka ku-update application yoyote or download app nyingine, imekuwa ikitaa na kuleta ujumbe wa kwamba internal storage is full. Hata nilipo set SD card as defort storage bado imekuwa ikikataa.
Ni kweli kuwa internal memory imeshajaa but since kuna SD card yenye 16GB nilijua kuwa hakuta kuwa na tatizo !
Msaada wajameni maana nimeshindwa cha kufanya kabisa.
 
Nmeattach na screenshots.
 

Attachments

  • 1438064698584.jpg
    1438064698584.jpg
    38.5 KB · Views: 214
  • 1438064713299.jpg
    1438064713299.jpg
    33.1 KB · Views: 216
Jameni wataalamu mje huku na mm nina tatizo hili, hadi nimeacha kufanya updates za App zote!!!

Nyongeza: Je naweza kutoa Internal memory ya 4 GB na kuweka ya 16 GB make External Capacity up to 32GB bila kuaribu Functionality (features) za simu husika?

Pili je hizi Internal memory zinauzwa madukani kama itawezekana?
Cc Watu8 Chief-Mkwawa Njunwa Wamavoko Mwl.RCT
Msaada wenu wadau
 
Last edited by a moderator:
Futa application moja lwenye simu then download application inayoitwa link2sd card itakupa maelekezo
 
Nambie na mm. Vp umetumia hiyo ya chimti?

Actually nmegundua kuwa ni rahis sana na aihitaji hata kudownload hyo app. Kama unatumia simu kama yangu (huawei G630) just go to
Settings>apps>manage apps>chagua app unayoitaka> move to SD card.
. utakuwa umehamisha apps unazoztaka mpaka internal storage ipungue kadir upendavyo. Na hapo unaweza kuinstall or ku-update any application na zoezi linalobakia ni kumove hizo app kama nilivyokuelekeza.
 

Attachments

  • 1438078520032.jpg
    1438078520032.jpg
    33.7 KB · Views: 130
  • 1438078555443.jpg
    1438078555443.jpg
    39.6 KB · Views: 122
  • 1438078580967.jpg
    1438078580967.jpg
    38.9 KB · Views: 125
Last edited by a moderator:
Mkuu Ubavu mimi niliwahi kuinstal AppMgr III niliweza kumuvuzisha App nyingi kwenda Sd card na space ikapatikana, lakini baadae kuna App ziligoma kabisa kuwa haziwezi move to Sd card.

Baada ya muda nika instal zingine. Imejaa tena, na hamna space, huku nikiangalia Internal Storage kuna 118MB free na External (Sd card) in 29.8 GB free. Hata kuapudate App yoyote inasema insufficient space!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ubavu mimi niliwahi kuinstal AppMgr III niliweza kumuvuzisha App nyingi kwenda Sd card na space ikapatikana, lakini baadae kuna App ziligoma kabisa kuwa haziwezi move to Sd card.

Baada ya muda nika instal zingine. Imejaa tena, na hamna space, huku nikiangalia Internal Storage kuna 118MB free na External (Sd card) in 29.8 GB free. Hata kuapudate App yoyote inasema insufficient space!!!

Hapo nadhan itabid waje advanced wataalamu watusaidie katka hilo gigantic problem !
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom