mbeyaboyfrancy
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 248
- 91
Nina simu yangu Nokia ya tochi model 105 nikiweka laini za mtandao mingine hazitaki kusoma isipokuwa laini ya vodacom peke ndo inakubali, tatizo linaweza kuwa ni nini?
Acha kununua cm za promotion