Msaada: Simu yangu inajiweka Loud Speaker

Msaada: Simu yangu inajiweka Loud Speaker

mbwadinho

Senior Member
Joined
Jun 29, 2016
Posts
180
Reaction score
102
Habari za mujukumu WanaJamiiForums,

Ninaomba msaada wa kufahamu jinsi ya kutatua tatizo la simu kujiweka loud speaker bila kubonyeza sehemu ya loud speaker mara unapopokea simu

Asanteni
 
Nilimdukua wife simu yake ikawa inapata tatizo hilo.

Ushadukuliwa mkuu. Niamini mm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom