Habari wakuu
Nina simu ya samsung galaxy GT-I9000,toka juzi inaji-switch kwenye flight mode automtically,kwa hiyo inakata kila kitu yaana si-access chochote,nimejaribu kufanya factory reset lakini bado tatizo ni lilelile
Naomba msaada nifanyaje wakuu
Natanguliza shukran zangu kwenu