Msaada: Simu yangu imezima ghafla

Msaada: Simu yangu imezima ghafla

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
844
Wakuu, nina smartphone yangu aina ya fotola nimenunua kwenye promosheni, nimetumia siku tano tu imezima ghafla haijawaka tena mpaka leo nimepeleka kwa mafundi wanadai hawaoni tatizo.

Msaada wadau
 
Duh hiyo aina ya cm ndo kwanza naisikia leo fotola inatengenezwa nyumbu jeshin au inatoka wapi
 
Iwashe tu mkuu hakuna jinsi. Brand sasa mhhh Fotola? Hiyo itakuwa mchina alimpa mwanae ajifunzie kutengeneza simu
 
Hiyo smartphone yako ndio itakuwa ni ile ya Magufuli aliyoitumia kupokea email kutoka kwa Dr kigoda kabla hajapelekwa ICU.
 
Kama hawaoni tatizo mafundi basi jaribu tiba asilia itakuwa imerogwa hiyo simu.
 
Khaaa yani ilo jina tu huogopi.
Alf tena promosheni.
Du pole bwn kauze spea tu sio wa kwanza kupoteza ww.bora ata tecno znakaa miez kadhaa
 
Wakuu, nina smartphone yangu aina ya fotola nimenunua kwenye promosheni, nimetumia siku tano tu imezima ghafla haijawaka tena mpaka leo nimepeleka kwa mafundi wanadai hawaoni tatizo.

Msaada wadau
nenda ulipo nunua uwaelezee kama wataweza kukubadilishia
 
Back
Top Bottom