Msaada Simu yangu imejilock ghafla.

Pompoo

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
362
Reaction score
41
Habari zenu wakuu. Jana usiku nilimuachia mtoto simu baada ya kurudi nikakuta simu imejilock na inaandika PLEASE ENTER THE PRIVACY PROTECTION PASSWORD/PIN.

Nimejaribu kuweka PIN ninayotumia siku zote imegoma, Mwenye ufumbuzi au ushauri msaada tafadhali.

Simu ni TECNO H6.
 

zima simu yako kisha bonyeza volume up button na power button usiachie hadi simu ilete menyu ya tofaut kdogo...
kisha tumia volume down kushuka hadi walipo andika wipe user data /factory reset kisha bonyeza power button ku select kisha shuka hadi kwenye yes then select kwa kutumia power button.simu yako ita jiwipe ikimalza chagua reboot now tumia power button kuselect ku reboot..simu itawaka bila kudai passcode..Hapo utakua umemalza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…