Msaada:simu yangu haiunganishi hotspot

Msaada:simu yangu haiunganishi hotspot

kinabhi

Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
18
Reaction score
8
Salam wakuu,
Simu yangu aina ya asus inakataa kuunganisha hotspot, inajibu kuwa internet ni tatizo wakati natumia internet vizuri tu kwa kublowse.
Asanteni
 
Back
Top Bottom