Msaada: Simu yangu haitoi sauti

kelvin miho

JF-Expert Member
Dec 9, 2016
281
134
Jamani samahani, nina simu yangu ghafla tu haitoi sauti pindi nipigapo simu au kupokea na kuita inaita nimecheki spika zote ziko safi sielewi nini tattizo. Model ya Simu ni HTC one.
 
Mrejesho
Jaman nimehangaika mpaka nimefanikiwa now na make na kureceived call kama kawaida ilikua ni masuara ya kimtandao tu
 
Back
Top Bottom