Msaada simu yangu haitaki kuinstall baadhi ya app

Laizer Miradi

Member
Jan 2, 2018
24
8
Kuna App inaitwa Findyr. Kila nikijaribu kuinstall inaniambia your device isn't compatible with the app. Ni uwezo mdogo wa simu au inakuwaje hapo. Msaada Tafadhali
 
Back
Top Bottom