Msaada simu yangu haipandi 3G

bigest

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
340
Reaction score
166
kama nlivyoeleza hapo juu simu yangu ni aina ya vivo y51 naomba msaada pamoja na kuwa na 4g 3g inabaki kwenye E hata nikibadilisha haikubari nifanyeje?
 
umenunua ukakuta iko hvo au ni tatzo lililojitokeza hv karibun
 
hio ni simu ya china mobile band zao ni tofauti na kwetu, nimeangalia online wana band 2300mhz hivyo kama upo dar eka line ya smart itakubali kushika 4G ya hao smart.
 
hio ni simu ya china mobile band zao ni tofauti na kwetu, nimeangalia online wana band 2300mhz hivyo kama upo dar eka line ya smart itakubali kushika 4G ya hao smart.
asante chifu mkwawa ndio nipo dsm. ngoja nijaribu kuweka smart
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ