Natumia simu ya Samsung galaxy mega GT - I9152, tatizo lake haijai chaji hata ikijaa inatumia muda mwingi, masaa nane (8) na kuendelea. Naomben ushauri
Samsung ni simu nzuri ila tatizo lake ni charging system, na ni kwa simu nyingi tu za smartphone. waweza badili battery uone kama tatizo litaendelea lakini ni kawaida. pia jaribu kuwa unazima data na uwashe tu pale unapohitaji kutumia. pole kwa usumbufu.
Mwenzio nina simu ya torchi charge wiki nzima!
Natumia simu ya Samsung galaxy mega GT - I9152, tatizo lake haijai chaji hata ikijaa inatumia muda mwingi, masaa nane (8) na kuendelea. Naomben ushauri