hapana mkuu, chaja yake iliungua nikanunua nyingine kama hiyoChaja ni ya simu husika ?
Simu yako mkuu inafanya magazijutoWadau mi Nina techno Y3+ nikichomeka charger inaandika charging alafu badala ya asilimia kupanda labda ilikuwa 10% ukiangalia baada ya muda unakuta 9% naombeni msaada kwa anayefahamu
Unazingua mbabA bhanaSimu yako mkuu inafanya magazijuto
Badilisha betri kwanza ikikataa badilisha charger ikishindikana ndo ubadilishe cctm chargeWadau mi Nina techno Y3+ nikichomeka charger inaandika charging alafu badala ya asilimia kupanda labda ilikuwa 10% ukiangalia baada ya muda unakuta 9% naombeni msaada kwa anayefahamu
Samahan mkuuUnazingua mbabA bhana
UcjarI sana kawaida tu ndo jfSamahan mkuu
Asante kwa ushauriBadilisha betri kwanza ikikataa badilisha charger ikishindikana ndo ubadilishe cctm charge
Amina mkuu, shukrani kwa mchango wako.Ipeleke mahakamani!
Nimebadilisha na imeandika error😛lease plug out chargerBadilisha betri kwanza ikikataa badilisha charger ikishindikana ndo ubadilishe cctm charge
cctm charge umebadilisha ?Nimebadilisha na imeandika error😛lease plug out charger
Hapana bt inanibid nifanye hvyocctm charge umebadilisha ?