Mkuu hiyoo simu umenunua hivi karibuni.....?
Na kama umenunua hivo karibuni basi umenunua kw mtu....!!!
Na kama umenunua kwa mtu baasi hiyo simu ni ya wizi mkuu... And ilishakuwa rooted...
Kwann nimeongea hivi....
Mm niliroot simu yangu s4..
Kwa ajili ya usalama wa simu na kuweka baadhi apps... Ambazo nilizitaka mm..
Lakini siku moja nilibadilisha line na kuweka line nyingine.... WIFI, DATA, NA GPS ilikuwa inajiwasha yenyewe hata nikizima hivo vinajiwasha tena baada ya dakika kadha..
Na inapo jiwasha kumbe bi mkubwa (mother) kuna sms anapata kuwa simu yangu imeibiwa na wanapata number iliyowekwa kwenye hiyo simu maana while naset ile ant theft niliweka number ya mama angu na cousin wangu naye ishi naye nyumbani... Lakini mm nilishasahau kuwa niliset hivo.. Na wakinipigia mm sipatikani maana niliweka lini nyingine kuna mtu alikuwa anitumie hela kwenye line hiyo ya voda.. Ambayo huwa siitumii... Basi wakajua nimeibiwa
"mkuu kama umeuziwa kitaa utakamatwa aise..
Ila kama ni yako/ ambayo unatumia muda mrefu basi wataalamu watakusaidia. "