Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,776
- 107,435
Habari GTs wa JF
Natumia simu aina ya
Samsung Galaxy S4 GT 19500, Android version 4.4.2.
Simu yangu hii imekua ina tatizo ambalo limekua linanisumbua sana, hua inachemka sana kiasi kwamba mpaka nikiishika nasikia vidole vinapigwa mishalempaka muda huu naandika nipo nasikia hiyo mishale kama shoti flani hivi.
Pia hata nikiichaji up to full nikianza kuitumia haizidi 1HR inakula chaji sana.
Naombeni mnishauri ndugu zangu nifanyeje ili kuondoa hilo tatizo.
Ahsanteni.
☆☆☆☆☆☆☆☆