Msaada simu ya nokia lumia 822 imestuck kwenye flight mode

mkachu

Senior Member
Dec 20, 2012
136
42
Kama inavyojieleza hapo uni simu ya Nokia kukua 822 imestuck kwenye flight mode naombeni msaada wandugu
 
Simu zinasumbua sana ktk ilo tatzo..apo ka-flash tu.
 
Mie lumia 822 ninayo na kama miaka 2 na sijawai pata tatizo hilo jaribu kui restore
 
Umeshindwa Ku restore ama una restore ila Bado inakua flight mode
 
Back
Top Bottom