Mchina wangu ana tatizo ambapo ha-install program, ha-save chochote wala hawezi kufuta kilichokuwepo kabla ya tatizo. Nilipojaribu kuflash, imetokea error kama inavyoonekana.
Nilipojaribu ku-run memory test ilitokea hii.
Sehemu nyingine zote inaonesha OK isipokuwa hapo kwenye RED.
Naombe msaada wa kumaliza tatizo.
Tecno M3.
OS Android 4.2.2
Asanteni.