mkuu na assume unataka simu za around laki 5 hadi 6 (midrange) kama sio utanambia
kwa android anayekidhi hivyo vigezo ni samsung pekee(nipo open ukitaka kunipinga) na simu ninayoifikiria kwa haraka ni galaxy s II plus na galaxy grand hizi simu zinafanana specs kasoro kioo sii ni 4.3 inch (kidogo) na grand ni 5inch (kikubwa)
GALAXY SII PLUS and grand
-kwa camera zina 8mp camera ya nyuma na 2mp camera ya mbele
-speed ya internet zote ni 21mbps
-apps utatumia zote za android
-chaji sii na grand zimeperform ifuatavyo
kwa hio ukiangalia hapo sii plus ni nzuri kuplay video na imeishinda grand, lakini grand ni nzuri kwenye kuongea na kubrowse internet.
pia kuna option nyengine kutoka windows phone hii ni nokia lumia 720 bei zinafanana na hizo hapo juu
-camera hii simu ina 6mp na ya mbele 1.2 lakini ndio best kuliko midrange zote
-speed ni kama wenzake 21 mbps
-apps hapa ni chache kucompare na android
-battery ipo ya kutosha angalia score yake
battery yake ni nzuri kwenye kuongea, na kubrowse net ila sio sana kwenye kuplay video.