Msaada simu ya kununua!

Msaada simu ya kununua!

Mnyaluhala.

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Posts
1,430
Reaction score
1,789
Hi wadau wote JF! naomba ushauri ni simu gani nzuri naweza nunu dukani ambayo ina spidi kubwa ya intanet , camera nzuri na inayoweza kuwa software programes nyingi na inatunza chaji. zenye za wastani lakini ikiwa bei kubwa si mbaya! Nimeangalia kwa wauzaji wengi naona zinanichanganya simu aina moja bei tofauti tofauti!
 
Back
Top Bottom