Mwanangu nipe hiyo hela niwekeze kwenye bishaara zanguWasalaam
Naomba msaada nimetenga laki 7-8 kwa ajili ya simu,je ni simu gani nzuri zaidi kwa bei hiyo ambayo itanifaa?
NB;napenda sana simu nyembamba na nyepesi,pia camera bora kwa ajili ya kazi zangu.
Acheni ulimbukeni na ushamba! utakuwa unaingiza shs ngapi kwenye hio simu au ni kujionyesha tu kwa wenzako!!!Wasalaam
Naomba msaada nimetenga laki 7-8 kwa ajili ya simu,je ni simu gani nzuri zaidi kwa bei hiyo ambayo itanifaa?
NB;napenda sana simu nyembamba na nyepesi,pia camera bora kwa ajili ya kazi zangu.
[emoji23][emoji23][emoji23]dah kuna watu mnaponda ata ukiona mtu kanunua ndege mtasema iyo itamfia huko angani, sasa bro iphone nani kakuambia kwa hiyo laki saba hadi nane atashindwa kupata? Laki nane second hand anaweza pata hata iphone 7 rose gold, iphone six zenyewe sasa hivi zipo hadi za laki tano , anyways mtoa mada usinunue iphone utakua limited na vitu vingi iphone wanaipendwa tu status kwamba unamiliki iphone , wakati kuna simu kama samsung galaxy note 8 ambayo ni zaidi ya hiyo iphone seven na eight , iphone haina bluetooth, huwezi kudownload miziki au videos, ina limitations nyingi so bora utafute samsung s8 seconda hand zilizo refurbished hutojutia kuliko iphone ila sema tu iphone uzuri wake ni camera but still s8 is worth it..Hiyo hela ni ya tecno.iphone huwezi wewe na vihela vyako vya nyanya
The goal is to be rich and not to look rich achene ushamba .sijui umeelewa hapoAche
Acheni ulimbukeni na ushamba! utakuwa unaingiza shs ngapi kwenye hio simu au ni kujionyesha tu kwa wenzako!!!
View attachment 622199 View attachment 622199
Asante sana kaka,God bless you.Nakuja PM naomba msaada wako zaidi[emoji23][emoji23][emoji23]dah kuna watu mnaponda ata ukiona mtu kanunua ndege mtasema iyo itamfia huko angani, sasa bro iphone nani kakuambia kwa hiyo laki saba hadi nane atashindwa kupata? Laki nane second hand anaweza pata hata iphone 7 rose gold, iphone six zenyewe sasa hivi zipo hadi za laki tano , anyways mtoa mada usinunue iphone utakua limited na vitu vingi iphone wanaipendwa tu status kwamba unamiliki iphone , wakati kuna simu kama samsung galaxy note 8 ambayo ni zaidi ya hiyo iphone seven na eight , iphone haina bluetooth, huwezi kudownload miziki au videos, ina limitations nyingi so bora utafute samsung s8 seconda hand zilizo refurbished hutojutia kuliko iphone ila sema tu iphone uzuri wake ni camera but still s8 is worth it..
Re-read NB itakusaidia kuelewa lengo la mm kununua simuAche
Acheni ulimbukeni na ushamba! utakuwa unaingiza shs ngapi kwenye hio simu au ni kujionyesha tu kwa wenzako!!!
View attachment 622199 View attachment 622199
Nakuomba PM mkuu,nimekutext[emoji23][emoji23][emoji23]dah kuna watu mnaponda ata ukiona mtu kanunua ndege mtasema iyo itamfia huko angani, sasa bro iphone nani kakuambia kwa hiyo laki saba hadi nane atashindwa kupata? Laki nane second hand anaweza pata hata iphone 7 rose gold, iphone six zenyewe sasa hivi zipo hadi za laki tano , anyways mtoa mada usinunue iphone utakua limited na vitu vingi iphone wanaipendwa tu status kwamba unamiliki iphone , wakati kuna simu kama samsung galaxy note 8 ambayo ni zaidi ya hiyo iphone seven na eight , iphone haina bluetooth, huwezi kudownload miziki au videos, ina limitations nyingi so bora utafute samsung s8 seconda hand zilizo refurbished hutojutia kuliko iphone ila sema tu iphone uzuri wake ni camera but still s8 is worth it..