steven13
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 349
- 189
Wasalaam
Naomba msaada nimetenga laki 7-8 kwa ajili ya simu,je ni simu gani nzuri zaidi kwa bei hiyo ambayo itanifaa?
NB;napenda sana simu nyembamba na nyepesi,pia camera bora kwa ajili ya kazi zangu.
MREJESHO
nashukuru kwa ushauri wa ombi langu apo juu,nimeamua kununua samsung s8 second hand ila iliyo renovated/decorated(yenye muonekano mzuri kabisa).Naomba kwa anayeuza au anayeweza nsaidia wapi pakuipata ani PM au anichek 0767833496