1. Ninapoitumia hasa kwenye internet inapata joto
sana na charge haikai muda mrefu inazima.
2. Wakati mwingine inaishiwa charge wakati IPO kwenye kuchaji!
3. Tatizo hili limeanza zaidi ya juma moja wakati nimeitumia miaka 2
bila usumbufu!
4. Anayejua jinsi ya kutatua tatizo anisaidie tafadhali.