Wakuu naombeni msaada ninatumia LG f180S jana kwa bahati mbaya nilifanya restore kwa lugha ya kikorea pasipo kujua nimeiwasha imewaka vizuri ila shida kumejitokeza matatizo amabyo hayakuwepo
1-kupoteza network sometime ukiwasha tena na kuzima network inakuwa haionyeshi
2- pia ukiwasha ukizima unakuta imerudi kwenye lugha yake ya kikorea haileti english hadi ufanye tena setting
3-ilikuwa na inetrnal memory ya 5gb cha ajabu sa hvi inaonyesha simu yote ina MB
naombeni msaada