Internal memory imepotea Baada ya ku-root simu naomba msaada

Internal memory imepotea Baada ya ku-root simu naomba msaada

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,263
Habari, zenu

Juzi nilipitia post humu ikisema njiaa rahis ya kuroot simu.
nilifanya poa, nikaroot vizuri.
Bt soon after kukamilisha zoezi hilo internal storage haisomi, haionesh file, wala folder lolote

Sd ndo inasoma,

Nimejarib ku wipe kila kitu, bt nothng. Kwa sasa nimewek sd card kama default upande wa storage ndo naeza.tumia simu poa

Hebu nipeni ujanja hapa wakuu
C6 khalfan2 Mwl.RCT na wengine saidia hapa
 
Attachments

  • 1413903119318.jpg
    1413903119318.jpg
    11.8 KB · Views: 269
Last edited by a moderator:
Simu ganii hii mkuu? Android Ginger Bread eehh?
 
jaribu kufanya factory reset, kisha angalia kama bado mafaili hayaonekani

Nshafanya hiyo kitu. Nshafanya hard reseting, nshaformat internal storage katka Pc bt nothng.
 
Habari, zenu

Juzi nilipitia post humu ikisema njiaa rahis ya kuroot simu.
nilifanya poa, nikaroot vizuri.
Bt soon after kukamilisha zoezi hilo internal storage haisomi, haionesh file, wala folder lolote

Sd ndo inasoma,

Nimejarib ku wipe kila kitu, bt nothng. Kwa sasa nimewek sd card kama default upande wa storage ndo naeza.tumia simu poa

Hebu nipeni ujanja hapa wakuu
C6 khalfan2 Mwl.RCT na wengine saidia hapa

Fanya haya, download Super Su from google play, Inayo option ya ku unroot, fanya (unroot kama mara 5 hivi), it will fix, usisahau kuleta mrejesho
 
Last edited by a moderator:
Fanya haya, download Super Su from google play, Inayo option ya ku unroot, fanya (unroot kama mara 5 hivi), it will fix, usisahau kuleta mrejesho

Imeleta positv effct, thngs zipo oky....so nikiroot inaeza hide tena internal storage
 
Kuna watu umu wanajua vitu jamani.!!..Nimekubali..HESHIMA KWENU
 
Ha ha ha manjeta umenikuna, kijana sa hv anaweza tumia cm vizur kabisa
 
Note:Itakula battery zaidi lakini,
Ingia settings>>Network Conn.. >>Mobile Netw.. >>Network mode

Chagua WCMDA, ila itasababisha wakati mwingine iwe inakata network kwa sekunde kazaa kila ikitaka kuswitch, ila ukiweka automatic mode itasaidia reception ikiwa kidogo iwe E, G na ikiwa nzuri iwe 3G,H....
 
Mkuu settng hizo hazipo katika Y530
 
Attachments

  • 1414060940977.jpg
    1414060940977.jpg
    35 KB · Views: 59
  • 1414060970703.jpg
    1414060970703.jpg
    40.6 KB · Views: 56

Similar Discussions

Back
Top Bottom