Lee Napoleon
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 896
- 568
umetumia app gani ku root umejaribu kutumia app ya root checker ili kuverify kama imeroot? ukizima ukiwasha bado inafanya hivo hivo? ukijaribu ku Uninstall hiyo app uliyotumia kuroot je inakuball kutoka?
Nlitumia kingroot niliverify ikawa OK na app nliyotumia kuroot haijatoka na hata nkizma na kuwasha bado iko hvyo
Tatizo lako linadhihirisha kuwa launcher inecorrupt...Baada ya kuroot simu ya huawei kestrel G 535 imeandika neno unfortunately huawei home is stopped na app zingine ila nikitouch OK kwenye zingine neno hilo linatoka ila mwisho linabaki la huawei home is stopped ukiclick OK halitoki na haiendelei kokote.
Solution yake ni nini? Kwa anaeweza tafadhari nitakutafuta unitatulie