msaada simu inachelewa kuwaka

msaada simu inachelewa kuwaka

itakua tecno au huawei....punguza baadhi ya apps kwenye cm yako kisha clear vitu kwenye phone memory
 
jamani ukitaka kusaidiwa jieleze kwa upana ili mtoa msaada ajue anaanzia wapi? sasa wewe unaandika utafikiri wewe ndo unatoa msaada ovyo kabisa
 
Njia rahisi na nyepesi kwa simu inayochelewa kuwaka washa jiko la umeme/gesi iweke hapo jikoni fasta utaiona inawaka na kama haijawaka njoo uchukue 10,000/=
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom