Msaada simu imezima

Mtu mbalimbali

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
886
Reaction score
1,630
Habari zenu wanajamvi!

Natumai wote ni wazima,
straight to the point, simu yangu ya tecno L8 Plus imezima toka juzi na nilipo jaribu kuiweka kwenye chaji iliandika "erro!please plug out the charger" sijajua shida ni nini.

Naomb kufahamu kama kuna mtu aliyewahi kuexperience hili tatizo na alilitatuaje au mtu yeyote mwenye mchango wa kunisaidia.

Nawasilisha.........
 
Jaribu kutumia charger nyingine.
 
Umebadili charger? au ndio hiyo hiyo uliyokua ukiitumia toka mwanzo?
 
Hiyo peleka Tecno faster wanaiwasha nishawahi kutumia simu kama hiyo ikanisumbua ikazima tu kuja kupeleka wakaitengeneza dk 5 ikawaka
 
Jaribu kuichaji, then hold power button huku ukibonyeza bonyeza button zote mbili za sauti,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…