Wakuu habari za Leo.... Ninahitaji Msaada Kwa mjuzi yeyote, nijue ni ishu serious ya simu au ni setting tu.. Ninatumia Infinix Hot 10... Mwanzo ilikuwa inashika na kucconect Bluetooth vizuri tu, ila Kwa sasa Haitaki kabisaa hata kuisoma nearby Bluetooth... Je, naomba kufahamu shida kubwa ni Nini?? Je, wenye simu ya aina hii walikumbwa na changamoto ya aina hii, na Nini kilifanyika?
NB: Simu Bado ni mpya Ina miezi miwili tu.
Itakua uliangusha ikabada hardware crush, bila shaka wifi nayo haifanyi kazi. Maana wireless connection mara nyingi kwenye simu wanaweka sehm moja.
Kubadilisha AC yake hua ni 10k bila shaka haizidi
What to do if your Infinix phone bluetooth is not working properly? These are some solutions you can try such as clearing bluetooth cache, pairing other devices,etc.