Msaada: simu haina certificate

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,146
Wakuu natumia nokia 2700, kila nikitaka kudownload application inaniandikia "no certificate", msaada wenu nifanyeje? Kwani nimeshindwa hata ku-upgrade operamin
 
Uliwahi kuflash simu yako? Kama hujawahi jaribu kuingia kwenye menu,settings, security settings, authority certificates then activate mojawapo ya certificates. Kama kuna tatizo bado rudi.
 
Uliwahi kuflash simu yako? Kama hujawahi jaribu kuingia kwenye menu,settings, security settings, authority certificates then activate mojawapo ya certificates. Kama kuna tatizo bado rudi.

mkuu nimeflash last week...nimeenda mpaka kwenye authority certificates but inakataa kuselect..inafunguka ila sehemu ya apps. signing haina tik.
 
I have the same problem,wataalam tusaidieni tafadhali
 
Kwa kuwa umeflash tatizo lipo hapo kwa sababu hao mafundi hawaweki software original za Nokia ndio maana zinasumbua kuactivate certificates. Mimi pia nimepata tatizo na simu yangu Nokia 5130 XpressMusic haina original software kwa hiyo siwezi kudownload applications. Lakini kwa suala la opera mini unaweza kudownload unsigned version. Nenda m.opera.com, ikifunguka shuka kwenye other download options, fungua version unayotaka. Ikifunguka shuka kwenye certificate options, chagua no certificate,click na endelea kudownload itafanya kazi. Mimi natumia opera mini 6.5, 4.4 na next zote unsigned. Zinafanya kazi ila unachokosa ni security. Applications zingine kwa kweli ni kilio mpaka ninunue simu nyingine.
 

mkuu nashukuru, nimeipata opera 6.5
 

thanx mkuu umenisaidia na mimi kupata operamini with no certificate
 
Embu nipeni somo kidogo hapa! Ukiflash simu nini kinatokea?

Kuflash simu ni sawa na kumwaga oil chafu kutoka kwenye injini ya gari na kuweka mpya iliyo safi. Simu inapoingia virusi ni kama imechafuka. Inashindwa kufanya kazi vizuri au kugoma kabisa. Lakini virusi vina affect software yaani ule mfumo wa maagizo(operating system). Hardware inakuwa safi tu. Ili simu irudie kufanya kazi sawasawa lazima kuondoa software yenye virusi na kuweka mpya iliyo safi. Ndicho kinachotokea.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…