Msaada: Simu haiconnect USB kwa PC

KB THE DON

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
250
Reaction score
117
Habari wanaJF,

Natumia simu aina ya tecno CX (camon ) imefika muda inanikera kidogo
tatizo lake ni kwamba haiconnect USB kwa PC nimejaribu kuipekua kwa kina nikaset USB debug on nikaset USB mulimedia transfer protocal lakini bado ukichomeka kwa USB inacharge tuu basi bila kuleta option yoyote ya kukonnect.

Mwanzo nilidhani USB yangu inatatzo nikabadilisha tatizo bado tuu nimejitahidi sana kuset ila imenishinda.

Naomba msaada kwa mwenye ujuzi wa kutatua tatizo hili linaloninyima raha please maana nashindwa kushare simu yangu na PC kwa kutumia USB cable.

Ukiangalia picha hiyo ndo jinsi nivyo set nakujaribu kwa namna zote hapo namaanisha
1. nilibadili usb no response inacharge tuu
2. Nkaweka kwa pc nyingine napo bado no response inacharge tuu
3. Nkajaribu kurekebisha setup hapo nikiijaribisha kila moja bado no response . TEXNO CAMON CX
 
kuna option hapo ukiiconnect tu na pc, wewe weka option ya transfer files
 
Reset sim kila kitu kitakaa sawa, usisahau ku remove google account kabla huja reset vinginevyo itakuletea ile kitu connect to wi-fi....ikigoma, flash..ndio solution pekee
 
Kuna Driver Zime Miss Kwenye PC yako Tafuta Driver Za kusomea USB kulingana na model na aina ya PC yako ....Thanks
 
Jaribu Kwenye PC Nyingine Kushindwa ku connect kwenye PC kuna vitu 3 first ni hiyo USB ambayo wewe ni nzima Second charger connector ya simu Third ni Simu yenyewe kwa ndani. Kingine ambacho cha muhimu baada ya kuonekana kwenye PC ni Drivers za hiyo simu
 
Kuna Driver Zime Miss Kwenye PC yako Tafuta Driver Za kusomea USB kulingana na model na aina ya PC yako ....Thanks
Msikilize huyu hasa kama unatumia windows 8.1. Simu si tatizo kabisa tatizo ni driver za hiyo simu zinamiss kwenye pc yako. Open device and printer kwenye pc the troubleshoot icon ya usb ya simu yako ktk pc. Mihimu akikisha pc imeconectiwa na Internet
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…