panda magari ya mbagala yanayopita uwanja wa taifa ushuke kiwanda cha serengeti kisha utembee kuelekea maduka mawili au upande magari yaendayo k/koo ushake maduka 2. au panda magari ya tandika, ukifika tandika panda magari ya k/koo yapitayo chang'ombe ushuke maduka mawili. ukifika maduka mawili ulizia kiwanda cha simtank kipo karibu na kiwanda cha magodoro ndo simgas wapo. kiwanda kipo barabara ya ya kwanza kutoka maduka 2 upande wa viwanda. mia