msaada sijui nisome program gan?

msaada sijui nisome program gan?

ilemi mahome

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
883
Reaction score
619
wakuu polen na kazi.nimepata kachance ka kwenda kutafuta kaujuzi.elimu 4m 4B.binafsi nilipendelea nikasome program yoyete mubashara ya computer ambayo kitaani nimarketable kujiajili/kuajiliwa.nilipende kuanzia ngazi ya cheti,diploma then degree.ajalishi itachukua miaka mingap,ila sijui chochote kuhusu computer zaidi ya kuingia humu JF na kusoma thread zenu.
pls msaada wenu unahitajika.kuhusu hizo program
NA MUNGU ATAWABARIKI;
 
kasome java au HTML zinalipa sana
java mfano ukisomea java kuna faida nyingi sana kama unapata uwezo wa kutengeneza program na games ninzuri sana
 
na hiyo HTML ina husu vitu gan mkuu?
 
Soma
:-HTML >hii ni kuhusu mambo ya web sana sana
and Its Frameworks
JAVA SCRIPT >pia hii ni mambo ya web
and its frameworks
Pia jifunze C zote mimi kwangu C zote ni language mama
Vile vile jifunze python ambayo ina apply kwenye various platforms .
na usome vilanguaje vingine vidogo vidogo na rahisi kuvielewa itakusaidia language kama
-perl
-pascal
-fortran
Jifunze utengenezaji wa forums kama Hii Jamiiforms. Soma Vitu kama
-Vbulletin
-MyBB
 
Ili maisha yako ya programing yasiwe magum anza na html....its a basic language...
Zen from there unaweza soma language yyote na isikupe tab
Java itakusaidia sana hasa kwenye hii popular "android development of apps..."
 
kwahivyo waliyo design hii jamiiforums walikuwa wana ability kubwa kwenye haya mambo eeeh!!!!
 
Ili maisha yako ya programing yasiwe magum anza na html....its a basic language...
Zen from there unaweza soma language yyote na isikupe tab
Java itakusaidia sana hasa kwenye hii popular "android development of apps..."
thanx chief
 
thanks chief
 
anza na C, ingia playstore tafuta 'cpp droid' , itakuwezesha kufanya practical kabisa ukaona hali halisi bila kutumia kompyuta!
 
Mkuu kwanza jiulize unataka kufanya nini? Je ni kutengeneza websites au software za simu na pc!!

Nijibu niendelee kukuelewesha!
mkuu mimi nnachotaka nikusoma program ambayo nimarketable kwa dunia ya ssa ili badaaye niweza kujiajili ndo maana nikaomba wataaramu wa hizi mambo mnisaidie.chief if possible nishushie nondo tuu mi ntachagua.sbb sijui chochote ndo kwanza nataka nianze
 
Alafu kuna kitu sijaelewa... Je unataka kusomea computer programming au unataka kozi ya kwenda kusoma chuoni maana mada yako inachanganya mkuu!!

Kama unataka kozi ya kwenda kusoma chuon we chagua kozi yeyote ya IT au computer science nadhan zote zina cover software na web development!!

Toa maelezo kidogo mkuu usaidiwe zaidi!!!
 
Ili maisha yako ya programing yasiwe magum anza na html....its a basic language...
Zen from there unaweza soma language yyote na isikupe tab
Java itakusaidia sana hasa kwenye hii popular "android development of apps..."
HTML is not a programming language.
 
Soma
:-HTML >hii ni kuhusu mambo ya web sana sana
and Its Frameworks
JAVA SCRIPT >pia hii ni mambo ya web
and its frameworks
Pia jifunze C zote mimi kwangu C zote ni language mama
Vile vile jifunze python ambayo ina apply kwenye various platforms .
na usome vilanguaje vingine vidogo vidogo na rahisi kuvielewa itakusaidia language kama
-perl
-pascal
-fortran
Jifunze utengenezaji wa forums kama Hii Jamiiforms. Soma Vitu kama
-Vbulletin
-MyBB
Perl siyo language ndogo ina library kubwa ya Regex na wala siyo rahisi kujifunza labda kwa mtu ambaye teyari anaijua C.
 
Alafu kuna kitu sijaelewa... Je unataka kusomea computer programming au unataka kozi ya kwenda kusoma chuoni maana mada yako inachanganya mkuu!!

Kama unataka kozi ya kwenda kusoma chuon we chagua kozi yeyote ya IT au computer science nadhan zote zina cover software na web development!!

Toa maelezo kidogo mkuu usaidiwe zaidi!!!
nataka nikasome chuoni mkuu.mimi nilitaka nideal na program chache tuu hata 2 au 3 ambazo nikiingia mtaani nitaweza kupata pesa.au kiongozi nikisoma ICT ntakuwa nimeluka sn?
 
kwhyo mkuu nikikomaa na hii ICT itanitoa?na je ili niwe qulified nitoboe miaka mingap?kuanzia cheti,diploma thenn degree.
Certificate mwaka 1

Diploma miaka 2

Degree miaka 3

Jumla miaka 6...

Kama ukifanikiwa kufika diploma chagua kozi ya computer science, computer engineering au IT ndio zina cover haya mambokwa undani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom