Mtafutemtafute
Member
- Aug 9, 2021
- 13
- 14
Wasalaam jf
Naombeni mnisaidie nini shida
Nilianza period 14th July up to 18th July nikakutana na Baba chanja tar 21 na 26, period cycle ni 28 days. Hadi leo sijapata period nimepima mimba sina
Na je Kuna uwezokano wa kutopata ujauzito wakati hauna tatizo lolote? Ute ute wa ovulation day napata, period naingia vizuri tu
Kula nakula vizuri tu nafanya mazoezi pia kwa siku nakunywa maji lita 3.
Style zote tumemaliza lakini sipati

Nilipata ujauzito ukatoka, mwenzangu ana watoto
wawili tayari
Nisaidieni

naham kweli ya kupata mtoto
Na je Kuna vitu let say dawa mwanaume anaweza kutumia ili asimtungishe mimba mwanamke?? Maana anapiz ndani lakini ni miezi7 Saba sasa
na mwenzangu anaonekana hajali
Naombeni mnisaidie nini shida
Nilianza period 14th July up to 18th July nikakutana na Baba chanja tar 21 na 26, period cycle ni 28 days. Hadi leo sijapata period nimepima mimba sina
Na je Kuna uwezokano wa kutopata ujauzito wakati hauna tatizo lolote? Ute ute wa ovulation day napata, period naingia vizuri tu
Kula nakula vizuri tu nafanya mazoezi pia kwa siku nakunywa maji lita 3.
Style zote tumemaliza lakini sipati

Nilipata ujauzito ukatoka, mwenzangu ana watoto
wawili tayari
Nisaidieni

naham kweli ya kupata mtotoNa je Kuna vitu let say dawa mwanaume anaweza kutumia ili asimtungishe mimba mwanamke?? Maana anapiz ndani lakini ni miezi7 Saba sasa

na mwenzangu anaonekana hajali