Too face
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 223
- 199
Hivi mimba ya wiki moja au mbili inaweza kuonekana kwenye ultrasound? Then, hii ipoje..
Baada ya mwanamke kupitiliza siku zake kadhaa za hedhi anaamua kupima mimba then kipimo(UPT)kinaonesha positive ila baada ya masaa anaingia period kwa maumivu makali na kupitiliza siku (badala ya kubleed siku zake 5 kawaida anaenda hadi siku 7) ,
Je, ni nini? inawezekana ilikuwa ni mimba ikaharibika au ni kawaida hutokea vipimo kuonesha +ve mwanamke akikaribia period?