Kwa yoyote anayejua, nimekutana na hii"DIPLOMA IN TEACHER EDUCATION WITH AN AVERAGE OF C GRADE"swali ni kwamba ili cheti kiwe na sifa hiyo inatakiwa uwe umepata alama zipi.
Mwenye uelewa wa hilo tafadhali anisaidie kunipa maelezo.
Ahsanteni na karibuni kwa michango
Sent using
Jamii Forums mobile app