Nakushauri tafuta gari ambayo haizidi miaka 10 ya uchakavu usije kuikimbia ikiwa imefika na TRA wakakupa hesabu zako kulipia, cku hizi hakuna habari ya CC wala kuchakachua, inavyokuja wao wanaingiza CHASIS NUMBER TU kwny system yao, siku hizi system yote automated wala hakuna longolongo, kwa hiyo fanya ufanyavyo jipange ulete gari ya kuanzia mwaka 2003 na kuendelea!