Jaribu AlfaGems ya Morogoro mjini. Boarding ni sh. 850,000 inamilikiwa na kanisa katoliki na inafanya vizuri sana kwenye mitihani ya kitaifa. ipo kati ya stendi ya msamvu na uwanja wa nanenane.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.