Asante mkuuSinge Manyara
Asante wakati mwingine tunatakiwa kuwasikiliza na kuwasaidia kufikia ndoto zaoKijana anaonekana ana kiu ya kufika mbali kwenye michezo, ongera kwa kumuunga mkono kijana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
sawa ila haiko kwenye mikoa unayotaja lakini ni shule nzuri kimichezo na kama ana kipaji vizuri atasoma bure atalipa ada form one tuu.Asante mkuu
Shukrani sana mkuu kama utamuwa na contacts zao ninaombasawa ila haiko kwenye mikoa unayotaja lakini ni shule nzuri kimichezo na kama ana kipaji vizuri atasoma bure atalipa ada form one tuu.
sina contacts zao bossShukrani sana mkuu kama utamuwa na contacts zao ninaomba
Ni ya mwaka mzima mkuuHiyo bei uliyoandika ni ya mwaka mzima au term!?
Ila pia mtoto akifaulu vizuri kuna shule za serikali zenye michezo mf: Ilboru na Tanga tech
Kabisa mkuu hii kwa wenzetu wazungu inakuwa inatumika sana ndio mana vilaji vyao vinagundulika mapema sanaAsante wakati mwingine tunatakiwa kuwasikiliza na kuwasaidia kufikia ndoto zao