Msaada:Shule nzuri ya awali mbezi beach

Parachichi

JF-Expert Member
Jul 22, 2008
510
102
Wakuu heshima zenu!nilikua naulizia kama kuna mdau yeyote anayefahamu shule nzuri ya awali yenye maadili mazuri iliyopo mbezi beach anijuze!kijana wangu nataka nimuanzishe mwakani!

Nawasilisha wakuu.
 
Back
Top Bottom