Mzee wa Ndogo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 204
- 79
Naomba msaada wa kuweza ku download whatsapp bila kupitia itunes store wakuu?
jamani kuanzia tarehe 20 december watsapp ni bure kwa iphone nenden mkadownload ni offer ya limited time lakini
kwan ukidownload kwenye homepage ya whatsapp pia inauzwa?
hua whatsapp ya iphone haina trial wakati platform nyengine zina trial.
Whatsapp zote zinauzwa hadi za nokia, androids zote zinauzwa sema tu simu nyengine unapewa trial ya mwaka ujaribu kwanza
Naomba msaada wa kuweza ku download whatsapp bila kupitia itunes store wakuu?
Naomba msaada wa kuweza ku download whatsapp bila kupitia itunes store wakuu?