zipo shooting game nyingi sana za simu ila sio nzuri kama za pc sijui tatizo ni nini.
mi nimecheza moja inaitwa d day frontline comando hii ni series imetengenezwa na glu. uzuri wake ni bure haya magame na pia hayana mb nyingi sana around mb300 kwa kila game.
kuna mengine kama modern combat, brother in arms na nova yote ni shooting games. ni mazuri ila yana bei sana around dola 7.
kuna jengine linaitwa six guns design ya ki cowboy nalo zuri sema linahitaji simu nzuri sana.