fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,757
- 2,706
Habari zenu wakuu,muda si mrefu nilikua mtandaoni natafuta video editing software (Hitfilm) kwa kutumia laptop,kwa kua nilitype tu google kupata version ya software hiyo nimejikuta nafungua link ambayo nimedownload zip, katika installation Nimeona pc imeleta notification kuwa malware detected,then pc imeanza kujicommand yenyewe..ata browser nayotumia (chrome) kwa saiv default search engine (google) inakataa licha ya kuiset huku ikifunguka inaanza kuji direct hasa neno hili (YOUNDO)
Pia nikiselect program halafu nika right click option zinazotokea zina maneno kama si ya kichina bas ni ya kijapan,Je kwa tatizo hili nifanye nini wakuu?
(sikua na antivirus)
Pia nikiselect program halafu nika right click option zinazotokea zina maneno kama si ya kichina bas ni ya kijapan,Je kwa tatizo hili nifanye nini wakuu?
(sikua na antivirus)