Madagiz Senior Member Joined Feb 1, 2013 Posts 185 Reaction score 56 Jun 30, 2015 #1 Habari za jioni wadau,naombeni msaada katika laptop yangu toka juzi kila nikiingia ktk websites tofauti tofauti nakutana na maneno kama picha zinavyoonekana.Natanguliza shukrani Attachments 1435682869683.jpg 44.5 KB · Views: 71 1435682907323.jpg 46.5 KB · Views: 63 1435682934358.jpg 42.2 KB · Views: 63 1435682956334.jpg 31.6 KB · Views: 59
Habari za jioni wadau,naombeni msaada katika laptop yangu toka juzi kila nikiingia ktk websites tofauti tofauti nakutana na maneno kama picha zinavyoonekana.Natanguliza shukrani
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,418 Jun 30, 2015 #2 tarehe hujaiseti vizuri, eka tarehe sawa.
Madagiz Senior Member Joined Feb 1, 2013 Posts 185 Reaction score 56 Jun 30, 2015 Thread starter #3 Chief-Mkwawa said: tarehe hujaiseti vizuri, eka tarehe sawa. Click to expand... Nashukuru sana mkuu,nimefanya hivyo nimefanikia
Chief-Mkwawa said: tarehe hujaiseti vizuri, eka tarehe sawa. Click to expand... Nashukuru sana mkuu,nimefanya hivyo nimefanikia