MSAADA SEKTA YA MAMISS TANZANIA

TAECOLTD

JF-Expert Member
Mar 2, 2013
1,051
1,835
Habari za jioni hii ndugu zangu wanajamvi, kijana wenu ninakuja leo kwa lengo la kujuzwa zaidi.
Katika maisha ni ngumu kujua kila kitu hivyo kuuliza sio ujinga kabisa na yeyote anayemuona mtu mjinga anayeuliza basi huyo atakuwa na upungufu wa akili..
Ninahitaji kufafanuliwa kuhusu haya mambo makuu mawili katika mnyambuliko wa vipengele hivi vinne
1) Miss Universe Tanzania
2) Miss Tanzania
3) Miss Universe
4) Miss World
Nimekuwa nikisikia tu hayo majina yakitumika lakini sijajua utofauti ni nini, hivyo mwenye ujuzi wa kufafanua karibu sana..
Asante na karibuni..!!!
 
MAHREZ.

Leicester ndie bingwa, hili halina mpinzani.

Dakika ya thelathini na tano (35).

Wenyeji Crystal Palace 0-1 Leicester
 
MAHREZ.

Leicester ndie bingwa, hili halina mpinzani.

Dakika ya thelathini na tano (35).

Wenyeji Crystala Palace 0-1 Leicester
Ndugu mambo ya mpira yamehusika vipi kwenye Uzi wangu huu???
 
Lundenga njoo huku ujibu maswali kabla uzi huu haujahamishiwa kwenye jukwaa la michezo
 
Back
Top Bottom