Msaada: Sehemu wanayochonga vinyago

tricecriss

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
225
Reaction score
59
Habari zenu wanajamii forum?
Nimejikuta na hamasa ya kufanya biashara ya vinyago lakini nisingependa kuvinunulia pale mwenge ningependa kuvifuata huko vinapochongwa.kwa yeyote anayefahamu sehemu wanazochonga hivyo vinyago popote tanzania naomba anijuze tafadhali.
 
Mtwara mjini pale pale wachongaji wapo kibao
 
Huko mbal njo bugurun malapa ukiulza waendesha bodaboda watakuonyesha kwa wachongaji
 
He mbona mnaenda mbali wakati humu humu jf tupo? Ni pm tufanye mambo bei maelewano,ila inatepemea ntu na ntu.
 
Nenda mtoni.mtongani niliwaona muda kidogo nadhani bado wapo.
 
nenda bagamoyo wako wanaochongesha kule maeneo ya zinga bagamoyo,

au nenda lindi wako wanaochongesha utapata hivyo vinyago
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…