Msaada: Sehemu gani ya kumpeleka rafiki kwenye siku yake ya kuzaliwa?

Hahahaha my bad!! ila shukran kwa kunielewa
lakini pia ulitafsiri vibaya, huyo rafiki yangu ni Ke na huyo mkuu ni Me ndio maana akanitania nimpeleke kwake akafurahie.
Pole kiongozi wangu nami nilikuwa nimeelewa vibaya nilipoliona jina lako linaishia na gal...extremely sorry brother
 
Pole kiongozi wangu nami nilikuwa nimeelewa vibaya nilipoliona jina lako linaishia na gal...extremely sorry brother

Jamaniii sasa nani kasema me mwanaume mbona leo mkesha umekua moto hiviiii.

soma tena post yangu hahahaha.
 
Nimependa style yako ya usherehekeaji, hata me hua sina makuu, zaidi nitamshukuru Mungu, nitajipost na kushukuru wote walioni wish tayari siku imeisha....

Nadhani sote tungekua hivi masherehe ya kila wiki yangepungua mjini.... lol
Daaa mkuu isikilizie nafsi yako zaidi... ila nakushauri mtukuze Mungu zaid hata kama umepinda, mm sidhan kama kuna mtu atakae jua ni mtu wa dini haki ya Mungu nilivo yan
 

Jamaniii sasa nani kasema me mwanaume mbona leo mkesha umekua moto hiviiii.

soma tena post yangu hahahaha.
Ha ha ha ha ha aiss leo nimeingia choo cha tofauti
unajua sisi wapigaji tunajua ukishasema rafiki basi akili inakimbilia chini
...nilijua mmoja wa kike mwingine wa kiume
 
Ha ha ha ha ha aiss leo nimeingia choo cha tofauti
unajua sisi wapigaji tunajua ukishasema rafiki basi akili inakimbilia chini
...nilijua mmoja wa kike mwingine wa kiume
Jamani hadi nikasema kabisa "bestfriend" hahahaha sema ukweli leo umeingia cha kike tu....
 
Hello ladies and gents,

Rejea kichwa cha habari,

Nina rafiki yangu kipenzi a.k.a bestfriend siku yake ya kuzaliwa itakua tarehe 30/12, nawaza nini nimfanyie au wapi nimpeleke kwenye siku yake hiyo special.


Karibuni.
Mpeleke hospitali chumba wanachojifungulia(Kama alizaliwa hospital I),kisha mueleze kua asikae na kufurahia tu siku yake ya kuzaliwa bali atambue mwaka flani siku kama hiyo mama yake alikua kwenye chumba kama hicho akimleta duniani
 
Mpeleke hospitali chumba wanachojifungulia(Kama alizaliwa hospital I),kisha asikae na kufurahia tu siku yake ya kuzaliwa bali atambue mwaka flani siku kama hiyo mama yake alikua kwenye chumba kama hicho akimleta duniani
Hahaha sasa kwa mwanamke hilo suala anahitaji kukumbushwa kweli?? na yeye si atabeba mimba na hicho chumba ataingia.... lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…