Msaada screen ya S2 plus

Msaada screen ya S2 plus

bidam90

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
273
Reaction score
203
Habar wanatech geeks msaada kwa anaefaham bei na wap ntapata kioo cha samsung galaxy s2 plus Original kwa bei nafuu!Simu yangu imevunjika kioo wino umevujia sion chochote kwa sasa!shukran
 
Duh hizi samsung vioo vyake kazi kwel bongo bei kubwa
 
Habar wanatech geeks msaada kwa anaefaham bei na wap ntapata kioo cha samsung galaxy s2 plus Original kwa bei nafuu!Simu yangu imevunjika kioo wino umevujia sion chochote kwa sasa!shukran

andaa 150 nenda k.koo
 
Hata msiumize sana vichwa wakuu.Mimi s4 yangu ilipasuka kioo nikaenda Samsung care nikaambiwa niwape 250000/=nikaona ujinga.ila nikaambiwa niende kariakoo mitaa Wa msimbaz kila kitu kitakuwa sawa niliambiwa na mshkaji wngu.nimeenda pale nimewekewa kioo kipya na Simu IPO safi kwa 45000/=.Nina mpaka namba ya huyo jamaa.maana ni fundi na ana duka la Simu.kama mpo dar nendeni hapo msimbaz mtatengenezewa cm zenu bila tatzo. Na juzi nimepeleka note gear ya mwanachuo ikawekewa kioo kipya.
ANGALIZO:Kuweni makini maana matapeli kibao.
 
mkuu naomba namba yake huyo mshlaji tupige dili. ikiwezekana ni pm
 
Hata msiumize sana vichwa wakuu.Mimi s4 yangu ilipasuka kioo nikaenda Samsung care nikaambiwa niwape 250000/=nikaona ujinga.ila nikaambiwa niende kariakoo mitaa Wa msimbaz kila kitu kitakuwa sawa niliambiwa na mshkaji wngu.nimeenda pale nimewekewa kioo kipya na Simu IPO safi kwa 45000/=.Nina mpaka namba ya huyo jamaa.maana ni fundi na ana duka la Simu.kama mpo dar nendeni hapo msimbaz mtatengenezewa cm zenu bila tatzo. Na juzi nimepeleka note gear ya mwanachuo ikawekewa kioo kipya.
ANGALIZO:Kuweni makini maana matapeli kibao.

kioo cha s4 kwa 45?? tena kipya..hyo s4 yako original? kwa hali ya kawaida haiwezekan mana hyo s1 au s2 kioo chake tu hadi 160 .Leo kioo cha s4 kiwe 45 na ufundi juu...
 
Hata kwetu huduma hiyo tunatoa mitaa ya Aggrey0715378899
 
kioo cha s4 kwa 45?? tena kipya..hyo s4 yako original? kwa hali ya kawaida haiwezekan mana hyo s1 au s2 kioo chake tu hadi 160 .Leo kioo cha s4 kiwe 45 na ufundi juu...

Nimefurahi kusikia unabisha na Mimi nilitegemea.ila ungetaka kuproove Niko tayari kukuonesha Simu yangu nipo hapa mlimani,Maelezo mengi siwezi kuandika .
 
Kaka mjini kuna mengi kuhusu Simu/vifaa vya Simu vinauzwa being kubwa.ila kuna watu wanaviuza sawa na bure na vile vile.care centre wanvyoviuza being kubwa.
 
Nimefurahi kusikia unabisha na Mimi nilitegemea.ila ungetaka kuproove Niko tayari kukuonesha Simu yangu nipo hapa mlimani,Maelezo mengi siwezi kuandika .

Mkuu unazungumzia touch au full set ya kioo???,kwa touch tupu hiyo ndio bei yake.ila kwa kioo chenyewe mh sjui!!!!

Sjui mjini hapa.
 
Hata msiumize sana vichwa wakuu.Mimi s4 yangu ilipasuka kioo nikaenda Samsung care nikaambiwa niwape 250000/=nikaona ujinga.ila nikaambiwa niende kariakoo mitaa Wa msimbaz kila kitu kitakuwa sawa niliambiwa na mshkaji wngu.nimeenda pale nimewekewa kioo kipya na Simu IPO safi kwa 45000/=.Nina mpaka namba ya huyo jamaa.maana ni fundi na ana duka la Simu.kama mpo dar nendeni hapo msimbaz mtatengenezewa cm zenu bila tatzo. Na juzi nimepeleka note gear ya mwanachuo ikawekewa kioo kipya.
ANGALIZO:Kuweni makini maana matapeli kibao.

kioo cha s4 kwa 45000 hahahaha.uliwekewa kioo cha tft mkuu wala si gorilla
 
Nimefurahi kusikia unabisha na Mimi nilitegemea.ila ungetaka kuproove Niko tayari kukuonesha Simu yangu nipo hapa mlimani,Maelezo mengi siwezi kuandika .

kaka huna screen hapo mkuu....believe mi
 
kioo cha s4 kwa 45000 hahahaha.uliwekewa kioo cha tft mkuu wala si gorilla

Mi nmemwambia Anabisha et na hela ya fundi hapo hpo ..unaaana kanunua screen kwa 40 na ef tano hyo ya fundi
 
Back
Top Bottom