Msaada SAUT main campus- Mwanza

Oct 4, 2016
23
2
Hello guys, nimechaguliwa saut main campus mwanza but ningekupenda anayoielewa anisaidie kunielezea mazingira yake yalivyo
 
Yako vizuri msos upo bei chee upo huru kuish hostel za chuo au nje ,msuli ni kama kawaida palee,ku sup ni kawaida so jiandae tu .pako poua
 
karibu saut msuli upo kujitambua kilichokuleta bi jambo la muhimu sana walimu wapo wazuri tu bidii yako inaitajika kuepuka supp maisha kiujumla ni mazuri hostel zipo za chuo na njee ya chuo ni mapenzi yako hostel za chuo ugharimu laki tatu ila za nje utegemeana na hostel zipo laki tatu nne tano sita na kuendelea kulingana na mahitaji yako mwenyewe ila iyo bei ni kwa mwaka wa masomo sio semister
 
Hello guys, nimechaguliwa saut main campus mwanza but ningekupenda anayoielewa anisaidie kunielezea mazingira yake yalivyo
Karibu.mimi nipo karibu na chuo na ninashughulika na biashara ya gas.najua utahitaji Gas,jiko kwa matumizi ya kupika.mazingira ni mazuri karibu sana
 
Mazingira yako Pouwaa ila ukifika nistue niwe nakuja kukucheki tu Maana Niko Hapo Karibu tu
 
Back
Top Bottom