Msaada: Satellite dish settings | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Satellite dish settings

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by sijui nini, Jul 9, 2012.

 1. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  natumia dish futi 6 na receiver ya medaicom, hapo kabla lilikuwa napata chanel nyingi ikiwemo itv, tbc, ch5 bila shida sasa kutikana na sababu za ki miundombinu ilinilazimu kuliamisha mahali lilipo kulisogeza kidogo pembeni..zikapotea zote( nilijua tu zitapotea hata kabla sijalihamisha) so nikatafuta fundi aje anisaidie kunisetia, but mpaka sasa naambulia aljazeera tu na nyingine 2 za kihindi na ewtn ya dini basi..

  nimejaribu kuchingulia kwenye settings anazotumia nikakuta Satellite anayotumia ni Asiasat3s (105.5E) na vi transponder sijui vingivingi tu...sasa wataalam naombeni msaada wenu... ili nipata hizi za kibongo tena nifanyaje!!?
   
 2. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Niambie unatumia Dish aina gani na unatumia receiver aina gani pia Dish lako umeweka LNB ngapi ndipo nitakuelekeza vizuri.
   
 3. Mgjd

  Mgjd JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 414
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Uko wapi? Za kibongo zinapatika upande wa mashariki na degree ni 62-64 intelsat 906. Kwa frequency zaidi INGIA HAPA
   
 4. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  dish nlalotumia ni gulf star, receiver ni mediacom lina lnb mbili ila moja nilitoa mda tu kwa sababu binafsi na hiyo moja iliyobaki ndo ilikuwa inapata hizo channel za kibongo zote na chache nyinginezo kabla sijalihamisha mahali lilipokuwa mwanzo..
   
 5. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,637
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Lnb iliyobaki ni ya aljazeera lnb uliyoitoa ndiyo ungeweza pata local chanel, itv ch5 chten capital tbccm star tv, za msumbiji tvm1 tvm2, za zambia znbc 1&2 tim tp1
   
 6. Mgjd

  Mgjd JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 414
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Unapata ZNBC 1&2kwa lnb hii ya local? Au kwa hiyo ya Aljazeera?
   
 7. E

  Elai Senior Member

  #7
  Jul 11, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naomba msaada wa frequency za aljazeera na hizo za msumbiji FTA. Pia channel ten kama ipo.Ni za C-Band.
   
 8. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #8
  Jul 11, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  yaani ni kwamba hizo tbc, itv na zinginezo ambazo sizipati saiz nilikuwa nazipata hata baada ya kutoa lnb mara ya kwanza, nilikuwa natumia lnb moja tu kapata hizo channel zote za kibongo na nyinginezo ikiwemo aljazeera..ambazo sasa ndo sizipati baada ya kusogeza dish pembeni, na fundi aliyenirekebishia kaniwekea naona aljazeera tu na ewtn sijui na moja ya kihindi basi!! ila nilikuwa nazipata chanel zote za kibongo kabla sijahamisha kwa lnb hiyo hiyo moja..na distance niliyohamisha haizidi m5 kutoka lilipokuwa mwanzo...
   
 9. Mgjd

  Mgjd JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 414
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  aljazeera 4065h19850,Msumbiji 3654v5632.. Ch10 3906h2849.
   
 10. Mgjd

  Mgjd JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 414
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Embu fanya blind search alafu utuambie imekuwaje.
   
 11. Ben Mugashe

  Ben Mugashe Verified User

  #11
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 939
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Kuna fundi aliwahi jitangaza hapa 0717 675747 mtafute anaweza kukusaidia
   
 12. E

  Elai Senior Member

  #12
  Jul 11, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ninashukuru sana mkuu.
   
 13. R

  Roberty Mashaury New Member

  #13
  Feb 27, 2013
  Joined: Feb 26, 2013
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mambo vipi?
   
 14. July Fourth

  July Fourth JF-Expert Member

  #14
  Feb 27, 2013
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 2,288
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  mkuu hapo umeniacha.lnb moja tu.m yaani c band kupata za kibongo pamoja na aljazeera?? Au sijaelewa una maanisha nn? Aljazeera inatumia satellite tofaut na hz za kibongo.m so lnb inabidi ziwe mbili.vile vile kuomba frequence hapa haitakusaidia kwa kuwa kama huku restore factory basi zitakuwemo bado kwa receiver.m so waweza kusearch bila kuandika frequence..
  Kingne huyo fundi ulikosea kumlipa.m channel tatu then ukamlipa?? Au alikimbia?
   
 15. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #15
  Feb 27, 2013
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Usijali mkuu...nimesha solve tatizo ..nilipata fundi mzuri tu na sasa kila kitu mwake...
   
Loading...