Msaada: Samsung S6 imeniletea ujumbe huu 'Charging paused, bettery temperature too low'

Davet

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
42,369
205,759
Habari zenu wakuu!?

Natumia samsung s6 sasa jana nimechomeka kwenye charg ikaniletea ujumbe unasomeka `Charging paused, better temperature too low".....

Naomba msaada kujua nini kimesababisha, shida ni nn na jinsi ya kutatua hilo tatizo.

Muwe na siku njema....
 
Hali ya hewa kiwango cha baridi kimezidi hilo eneo. Technology ya battery (poly ion) iko limited by temeprature levels.
 
Badilisha betri.
 
Hali ya hewa kiwango cha baridi kimezidi hilo eneo. Technology ya battery (poly ion) iko limited by temeprature levels.
Sawa kiongozi lakini n siku ya tatu sasa hv na mm n mkazi wa dar, sasa inawezekana kweli kukuwa na baridi hilo?

Pia kama unawezajua nn cha kufanya ili ikubali kucharg naomba msaada
 
Peleka kwa technician. Hua inatokea kama ume replace screen au any of internal service procedure. Peleka kwa fundi. Mpe historia ya cm for authenticity
 
Nikwel siku kadhaa zilopita nmebadirisha back cover.... shukran kiongoz nafanyia kazi ushauri wako
 
Hizi cm za unremovable battery, ukisha replace cover hua ndio doom's day. Matatizo hua mengi baada ya hapo.. jaribu kupeleka kwa fundi na usiwe mbahiri kuigharamia kama spare ni original.
 
Duh mtihani huu sasa ila ndio haina jinsi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom